MICHEZO
Klabu ya Everton imekatwa alama 10 kwenye ligi kuu ya England kwa kukiuka kanuni za “Faida na Ustahimilivu” ikiwa ni sehemu ya kanuni za udhibiti michezoni za Financial Fair Play.
Adhabu hiyo inaifanya Everton kuwa timu ya kwanza England kukumbwa na Adhabu hiyo ,jambo ambalo limepelekea kushuka mpaka nafasi 4 kutoka nafasi ya 14 mpaka 19 ya msimu huu wa Ligi kuu England (EPL).
Hata hivyo, Everton wanaamini kuwa, kitendo hicho kimekiuka kanuni za haki za mchezo wa soka na wanajiandaa kukata rufaa dhidi ya uamuzi huo .
Related Posts 📫
Discover more from JUNIITV.ONLINE
Subscribe to get the latest posts sent to your email.