0:00
NYOTA WETU.
Nguli na rapa kutoka nchini Marekani, Snoopdog ameandika kwenye mtandao wake kuhusu kuacha kuvuta.
“Baada ya muda mrefu wa tafakuri na majadiliano na familia yangu ,nimeamua kuacha kuvuta.
Chonde heshimuni faragha yangu.
Amemaliza hivyo Snoopdog.
Mkongwe huyo aliezaliwa Oktoba 20,1971 alianza kutamba mwaka 1992 baada ya kushiriki kwenye lebo ya Dr. Dre baada ya kuachia kibao cha “Deep Cover”cha mwaka 1992 kabla ya Dr. Dre kumshirikisha kwenye Album ya “The chronic”.
Snoopdog ni mme wa mrembwende Shante Broadus aliyefunga nae pingu za maisha mwaka 1997 na kwasasa wako wote kwenye ndoa zaidi ya miaka 26 na pia wana watoto watatu wakijaliwa wajukuu watano.
Related Posts 📫
“NCHI HAIPOI KAMA UGALI”
Mzee mmoja ninayemheshimu, juzi kanipigia simu kunipa...
1.Saving Private Ryan (1998)2. Apocalypse Now (1979)3. Full Metal Jacket...
HABARI KUU.
Mwanaharakati wa Chama cha upinzani cha Citizens Coalition...
In a stunning upset, the Benin Republic national team known...
Dear Bachelor,If the major Reason you are marrying a lady...