0:00
MICHEZO
Tanzania imeanza vyema kampeini za kufuzu fainali za kombe la Dunia 2026 kwa ushindi dhidi ya Timu ya Taifa Niger alimaarufu “Menas”.
Morocco haijacheza mchezo wake kutokana na timu ya taifa ya Eritrea 🇪🇷 ambapo pia walikuwa kundi E ,kujiondoa.
Kwa mujibu wa vyanzo sababu zisizo rasmi za Eritrea kujiondoa ni kuwazuia wachezaji kutumia fursa ya mechi za nje ya nchi za timu ya taifa kutoroka na kuomba hifadhi ya kisiasa kutokana na utawala wa kibabe wa Rais wa Eritrea 🇪🇷 , Isaias Afwerki ,ambao unalazimisha utumishi wa maisha wa kijeshi kwa raia nchini humo.
MSIMAMO MPAKA SASA WA KUNDI E
1. ZAMBIA 🇿🇲 (3)
2. TANZANIA 🇹🇿 (3)
3. MOROCCO 🇲🇦 (0)
4. NIGER 🇳🇪 (0)
CONGO BRAZZAVILLE 🇨🇬
Goli la Taifa stars limetiwa kimiani na Charles M’mombwa.
Related Posts 📫
MICHEZO
Manchester United wameulizia upatikanaji wa Mshambuliaji wa Stuttgart. Sehrou...
Following his removal, Ndume was replaced by Senator Tahir Monguno,...
Mmiliki wa mabasi ya Sauli, Solomon Sauli Mwalabila amefariki dunia...
BENGALURU, - A sparkling 2024 in which Aryna Sabalenka swept...
NYOTA WETU
Muigizaji Mkongwe wa Nollywood Nigeria, Amaechi Muonagor amefariki Dunia...