MUME WA RIHANNA AFUNGUKA JUU YA MKE WAKE
NYOTA WETU. ASAP ROCKY hakuacha tabasamu lake lififie alipokuwa akijadili uwezekano wa kusikika kolabo yake na mama wa watoto wake Rihanna .Alikuwa na jibu la kufurahisha alipoulizwa juu ya kolabo…
NYOTA WETU. ASAP ROCKY hakuacha tabasamu lake lififie alipokuwa akijadili uwezekano wa kusikika kolabo yake na mama wa watoto wake Rihanna .Alikuwa na jibu la kufurahisha alipoulizwa juu ya kolabo…
NYOTA WETU.
Mrembo wa nchini Nicaragua 🇳🇮 Sheynnis Palacios Cornejo ameshinda taji la miss universe 2023 kwenye shindano lililofanyika Jumamosi usiku kwenye mji mkuu wa El Salvador, San Salvador.
Anntonia Porslid wa Thailand 🇹🇭 alishika nafasi ya pili.
Ushindi wa Palacios unamfanya kuwa Mwanamke wa kwanza nchini humo kuwahi kushinda shindano hilo la miss universe.
Mwaka 2021 aliiwakilisha nchi ya Nicaragua kwenye miss World.
Nchi 84 zilikuwa na wawakilishi kwenye shindano hilo.
Palacios amechukuwa kiti cha mtangulizi wake raia wa Marekani, R’Bonney Gabriel aliyeshinda miss universe 2022.
(more…)
HABARI KUU. Mke wa Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter, Bi. Rosalyn Carter (96) amefariki Dunia. Bi. Rosalyn Carter alifariki kwa amani akiwa amezungukwa na wanafamilia nyumbani kwao katika…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye magazeti ya leo kwenye mbao zake.