0:00
NYOTA WETU.
Mrembo wa nchini Nicaragua 🇳🇮 Sheynnis Palacios Cornejo ameshinda taji la miss universe 2023 kwenye shindano lililofanyika Jumamosi usiku kwenye mji mkuu wa El Salvador, San Salvador.
Anntonia Porslid wa Thailand 🇹🇭 alishika nafasi ya pili.
Ushindi wa Palacios unamfanya kuwa Mwanamke wa kwanza nchini humo kuwahi kushinda shindano hilo la miss universe.
Mwaka 2021 aliiwakilisha nchi ya Nicaragua kwenye miss World.
Nchi 84 zilikuwa na wawakilishi kwenye shindano hilo.
Palacios amechukuwa kiti cha mtangulizi wake raia wa Marekani, R’Bonney Gabriel aliyeshinda miss universe 2022.
0RODHA YA 5 BORA
Related Posts 📫
Mikel Arteta will hope to add to his squad to...
Former Olympique de Marseille midfielder Abdelaziz Barrada has died at...
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka waganga wakuu...
Mchekeshaji maarufu aliyegeukia siasa, Dkt. Micheal Usi ameapishwa kuwa Makamu...