MUME WA RIHANNA AFUNGUKA JUU YA MKE WAKE

0:00

NYOTA WETU.

ASAP ROCKY hakuacha tabasamu lake lififie alipokuwa akijadili uwezekano wa kusikika kolabo yake na mama wa watoto wake Rihanna .Alikuwa na jibu la kufurahisha alipoulizwa juu ya kolabo yao ingekuwa.

Raba huyo wa “Fashion Killa” alisema

“Ikiwa mimi na Mwanamke wangu tungeshirikiana ,Tungeshirikiana?Nadhani tunafanya kazi nzuri sana katika kushirikiana kutengeneza watoto.Baada ya kicheko na tabasamu kubwa,alisema “Nadhani hiyo ndiyo kazi yetu bora zaidi kufikia sasa. Hakuna kitu bora zaidi ya hicho ,na sidhani kama kuna muundo mwingine bora zaidi.

Namaanisha, tulikuwa na mbunifu wa tatu aliyeingia na kutusaidia ,mbunifu wa roho anayeitwa Mungu,unajua?Aliingia na kuunda kila kitu ,na sasa tuna Malaika hawa wazuri. Kwa hivyo,hiyo ndio kolabo bora yetu zaidi”.

ASAP ROCKY na Rihanna wamekuwa kwenye mahusiano ya wazi tangu mwaka 2020 .mpaka sasa wamejaliwa kupata watoto wawili wa kiume RZA na Riot Rose.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related News 📫

Martinez back in Argentina squad after suspension,...
BUENOS AIRES, - Goalkeeper Emiliano Martinez has returned to the...
Read more
American McCartney Kessler stunned No. 1 seed...
Kessler thrived as an underdog in the tournament, ousting No....
Read more
Government Declares Public Holiday for Deputy President...
The government has announced that Friday will be a public...
Read more
It was best for all we moved...
Caicedo: “At Brighton it was all tactical, just with the...
Read more
See also  MAZITO ZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA MKOA WA MARA

Leave a Reply