0:00
NYOTA WETU
Baada ya kusumbuliwa na majeraha ya muda mrefu,Mshambuliaji wa zamani wa vilabu vya Chelsea na Real Madrid, Eden Hazard, aliamua kustaafu huku akidaiwa kukataa ofa ya kujiunga na vilabu vya Saudia Arabia kwa mkataba wa paundi milioni 50,ambapo ungemfanya kulipwa takribani paundi milioni 1 kwa wiki ambazo ni sawa na bilioni 3 za kitanzania, kwa mujibu wa mchezaji mwenzake wa zamani wa Chelsea, Mikel Obi.
Mikel John Obi, aliweka wazi mazungumzo aliyofanya na Hazard ,kwenye podcast ya vibe with Five inayoongozwa na Rio Fernand.
Akimnukuu Hazard, Mikel Obi alisema
“Niende Saudia Arabia, ambako nitalipwa paundi milioni I kwa wiki,Kisha iweje? Nilipokea ofa mbili,tatu hivi za kwenda Saudia Arabia “
Mikel, nina pesa nyingi. Unajua ninavyoishi maisha yangu . Situmii pesa nyingi. Kwa hivyo ,nina pesa ya kutosha ya kuishi na familia yangu na kulea watoto wangu”
Related Posts 📫
Famous Nigerian actress Osas Ighodaro has lamented over the high...
HABARI KUU
Wakosoaji nchini Kenya na Nigeria wameeleza wasiwasi wao...
GIRONA, Spain, 🇪🇸 - Girona fullback Miguel Gutierrez scored in...
MAKALA
Watafiti wa Marekani wanasema wamegundua ni kwanini baadhi ya...