0:00
MICHEZO
Lionel Messi na Cristiano Ronaldo kukutana tena February mwakani ambapo Al-Nassr na Inter Miami watachuana kuwania kombe la Riyadh ( Riyadh season Cup).
Inaitwa ” The last Dance” ambapo watacheza mchezo wao huko Riyadh, Saudia Arabia baada ya Inter Miami kukubali kucheza dhidi ya Al-Nassr katika kombe la Riyadh season lililoundwa hivi karibuni.
Related Posts 📫
Captain Virgil van Dijk and midfielder Frenkie de Jong have...
Nollywood star Uche Jombo took to Instagram to share heartbreaking...
MAPENZI
1. AMANI.
Jambo kubwa ambalo unaweza kumpa mwanaume sio...
The Confederation of African Football (CAF) says the prestigious CAF...