0:00
MICHEZO
Beki wa Manchester United, Aaron Wan-Bissaka ,amefuatwa na timu ya taifa ya Congo ili kuwa sehemu ya kikosi kitakachowak8lisha taifa kwenye mashindano ya AFRICON 2024.
Inasemekana beki huyo mwenye uraia wa nchi mbili ,anafikiria kukubali kujiunga na timu hiyo.
Wan Bissaka hajawahi kuitumikia timu ya taifa ya England ya wakubwa hivyo anaruhusiwa kuitumikia DR Congo ,kwenye michuano ya AFRICON 2024.
Iwapo Wan-Bissaka atakubali basi United itakosa huduma ya beki huyo atakayeungana na wachezaji wenzake kama kipa Andrew Onana ( Cameroon 🇨🇲),Sofyan Amrabat (Morocco),Amad Diallo (Ivory Coast),na Hannibal Mejbril (Tunisia),
Related Posts 📫
MICHEZO
Waziri wa mambo ya ndani wa Ufaransa ,Gerald Damarnin...
HABARI KUU
Mwili wa Mkuu wa Majeshi Nchini Kenya, (CDF)...
HABARI KUU
Jeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, limetangaza...
Generation Z nchini Kenya wameendelea na maandamano wakimshinikiza Rais William...