0:00
MICHEZO
Nyota wa soka Lionel Andres Messi huenda akaongeza rekodi yake nyingine kwenye maisha yake baada ya kutangazwa kwa mnada wa seti sita za jezi alizozitumia kwenye kombe la Dunia mwaka 2022 huko Qatar, ambao kwa mujibu wa sotheby utafunguliwa Novemba 30,2023 hadi Desemba 14 huko New York.
Katika mnada huo jezi zinatarajiwa kuuzwa kwa zaidi ya pesa za Tanzania bilioni 24.
Related Posts 📫
LOVE TIPS ❤
🍷 *MISSIONARY*;
WHERE THE WOMAN LIES DOWN...
MILAN, Italy, 🇮🇹 - AC Milan slipped further away from...
VIGO, Spain, 🇪🇸 -
Manager Carlo Ancelotti heaped praise on...
GIRONA, Spain, 🇪🇸 - Liverpool maintained their 100% record in...