0:00
MICHEZO
Bao la dakika za jioni kabisa la Kai Havertz dhidi ya Brentford limeipeleka Arsenal kileleni mwa msimamo wa EPL katika uwanja wa Brentford Community.
Arsenal imefikisha alama 30 baada ya michezo yake 13,wakiwa wametia kimiani jumla ya mabao 27 na wao kuruhusu nyavu zao kutikiswa mara 10.
Mpaka sasa Arsenal ndio timu pekee iliyoruhusu mabao machache kwenye ligi ya Premier ,magoli 10 pekee.
Liverpool inashika nafasi ya pili kwa utofauti wa mabao na Manchester City huku klabu ya Newcastle United nayo ikitinga kwenye nne bora baada ya ushindi wa jana dhidi ya vigogo klabu ya Chelsea.
Related Posts 📫
MICHEZO
Erik ten Hag ameomba ‘uvumilivu’ baada ya kuthibitishwa kuwa...
The 26-year-old has joined on a five-year contract.
"Thanks to the...
CELEBRITIES
Nigerian music sensation Wizkid, shared his perspective on...
LOS ANGELES — LeBron James returned to the Los Angeles...