NYOTA WETU
Jaji wa shindano la BSS , Rita Poulsen baada ya kuweka wazi kwamba hana mpenzi,sasa ni rasmi orodha ni kubwa kwasasa ya wanaume wanaomhitaji.
Leo ameweka wazi kwamba baada ya kuweka wazi hana mpenzi kwenye kituo cha TBC basi amepata orodha ya jumbe nyingi kwenye mitandao yake ya kijamii ya wanaume ambao wako tayari kuwa nae.

“Wananchi mnaombwa utulivu zoezi la upembuzi yakinifu linaendelea . Maombi yamekuwa ni mengi lakini bila shaka mrejesho kutoka kamati inayoshughulikia mchakato utafikia tamati katika muda muafaka”.
Related Content
Related News 
Interim manager Ruud van Nistelrooy's future at Manchester United is...