0:00
NYOTA WETU.
Mwanariadha wa Tanzania ,Alphonce Simbu ameshika nafasi ya pili kwenye mashindano ya Shanghai Marathon 2023 huku Jackline Sakilu akishika nafasi ya nne kwenye mashindano hayo.
Kwa ushindi huo basi sasa ni rasmi Alphonce Simbu na Jackline Sakilu wamejipatia tiketi kwaajili ya mashindano ya Olympic 2024 na kuungana na Watanzania wenzao ,Gabriel Geay na Magdalena Christine ambao wamefuzu tayari.
Related Posts 📫
France coach Didier Deschamps said on Sunday that his side...
Portugal's Bernardo Silva and Cristiano Ronaldo scored first-half goals in...
The Red Devils won their opening match and then lost...
Chama cha ANC, ambacho kiliwahi kuongozwa na Nelson Mandela, kilishinda...