0:00
HABARI KUU
Taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii kutokea tarehe Novemba 25,2023 ya kujiuzulu wadhifa wa Katibu Mkuu wa CCM,Daniel Godfrey Chongolo sasa ni za kweli baada ya barua yake sasa kuwa ni rasmi.
Daniel Chongolo aliukwaa Ukatibu wa chama tawala cha CCM ,Aprili 25,2021 akichukua mahali pa Dkt. Bashir Ali Kakulwa.
Related Posts 📫
ABU DHABI, - Lewis Hamilton qualified only 18th for his...
MASTORI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na uwekezaji...
SPORTS
Blues fans will give Chelsea legend an unforgettable farewell partyfans...
Brighton & Hove Albion and Nottingham Forest maintained unbeaten starts...