0:00
MICHEZO
Cristiano Ronaldo ameikataa penati aliyokuwa amezawadiwa na Refa kwenye mchezo wa ligi ya Mabingwa bara la Asia ulitamatika kwa sare ya (0-0) ,baada Ronaldo kuanguka ndani ya box na refa kutoa penati.
Cristiano Ronaldo amemfuata mwamuzi aliyekuwa amezingirwa na wachezaji wa klabu ya Persepolis na kumwambia sio penati hivyo refa akaenda kujiridhisha kwenye VAR na akakubali kuwa haikuwa penati.
Related Posts 📫
NYOTA WETU.
Sean Combs "Diddy " ameshtakiwa kwa ubakaji na...
CAPE TOWN, - Holders Ivory Coast and Equatorial Guinea became...
MICHEZO
Borussia Dortmund imeingiza mguu mmoja kwenye fainali ya Ligi...
The Minister of Works, David Umahi says it is the...
NYOTA WETU
Alianza kuimba tangu akiwa shule wakati anasoma sekondani...