0:00
MICHEZO
Manchester City ikicheza ,imetokea nyuma na kushinda licha ya kutanguliwa kwa 2-0 dhidi ya RB Leipzig na kutoka kwa jumla ya mabao 3-2.
Manchester city vs RB Leipzig magoli yamefungwa na ( Haaland 54′ Foden 70′ Alvarez 84′ na Openda 13′ 33′).
TIMU ZILIZOFUZU HATUA YA 16 BORA
1. Manchester City
2.RB Leipzig
3.Borussia Dortmund
4.Bayern Munich
5. Atletico Madrid
6. Real Madrid
7.Barcelona
8. Real Sociedad
9. Lazio
10. Inter Milan
Matokea zaidi
PSG 1-1 Newcastle
Barcelona 2-1 Porto
Milan 1-3 Borrusia Dortmund
Feyenoord 1-3 Athletico Madrid
Young Boys 2-0 Crvena Zvezvda
Related Posts 📫
MAGAZETI
Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za...
MICHEZO
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) imetozwa kiasi...
Following his removal, Ndume was replaced by Senator Tahir Monguno,...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
New Zealand captain Tom Latham was lost for words following...