HALI YA KIAFYA YA PAPA FRANCISCO IPO MASHAKANI

0:00

NYOTA WETU

Hali ya kiongozi wa kanisa Katoliki Duniani Papa Francis bado si nzuri kwani jana alilazimika kumuomba msaidizi wake kusoma hotuba katika hadhira yake ambayo ufanyika kila jumatano Vatican.

Wakati akitoa maoni ya mwisho Papa Francis alikuwa akitaabika kusema huku akikohoa.

Wakati wa ujana kiongozi huyo alikatwa sehemu ya pafu lake moja na sasa anasumbuliwa na kuvimba kwa njia ya upumuaji.

Kwa ushauri wa Madaktari, Papa Francis ameahirisha safari ya kwenda Dubai wikiendi ijayo kuhudhuria kongamano la COP28 linalohusu mabadiliko ya tabia ya nchi.

Kwa mujibu wa makao makuu ya Kanisa katoliki yaliyopo Vatican, hali yake inaendelea vizuri ,hata hivyo yeye amekiri kuwa hali yake ya kiafya imetetereka.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

TONTO DIKEH BERATES PETER OBI OVER "QUALITY...
CELEBRITIES During the Ramadan period, Obi visited some Northern communities,...
Read more
HOW TO MAKE YOUR CHICKENS GROW BIG...
Every poultry farmer knows that Buyers want BIG chickens. If you...
Read more
Who is Ismail Haniyah?
Ismail Haniyah can rot in Hell. Good Riddance! Hamas leader Haniyah...
Read more
Matter of time until Mbappe breaks Real...
Real Madrid forward Kylian Mbappe has not found the back...
Read more
HOW TO IMPROVE COMMUNICATION IN YOUR RELATIONSHIP/...
Sometimes when two people have been dating or married for...
Read more
See also  HISTORIA YA JENERALI ULIMWENGU NGULI WA SIASA TANZANIA

Leave a Reply