0:00
MICHEZO
Shirikisho la soka Afrika (CAF) limezindua chama cha vilabu barani Afrika (ACA) likimchagua Mtanzania na Rais wa Yanga, Mwandisi Hersi Said kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Chama hicho chenye makao yake makuu Nairobi Kenya.
Mwandisi Hersi Said atasaidiwa na Jessica Motaung wa Kaizer Chiefs kama Makamu Mwenyekiti huku Paul Bassett wa Akwa United ya Nigeria akichukua nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa pili.
Uzinduzi huo uliofanyika Misri umeongozwa na Rais wa CAF,Patrick Motsepe na pia miongoni mwa wauzuriaji wa hafla hiyo ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba,Try Again.
Related Posts 📫
South Africans nearly had heart attacks on Thursday morning when...
The Nike Flight Premier League ball will enjoy its first...
The former boyfriend of Ugandan Olympic athlete Rebecca Cheptegei, who...
MICHEZO
Kocha Mkuu wa Newcastle United, Eddie Howe amesema klabu...
The Azimio la Umoja One Kenya Coalition Party has made...