0:00
MICHEZO
Kwenye mechi ya jana ya UEFA Champions League, Bruno Fernández aligusa mpira mara 60 na kutoa pasi tatu muhimu pamoja na pasi nne ndefu ,pia alishinda mipira 5 ya kugombania na kufanya tackling 3.
Rekodi nzuri kwa nahodha huyo lakini bado nafasi ya Manchester United ipo ya kutinga 16 bora itategemea na matokeo ya mwisho ya Bayern Munich na yeye,ambapo anatakiwa kushinda na huku Galatasaray na Copenhagen wakitoa sare basi yeye atakuwa amefuzu.
Related Posts 📫
Former President of Ghana, John Dramani Mahama, has sharply criticized...
His masked cameo sees Mullin star as Welshpool – a...
HABARI KUU.
Mamlaka inayohusika na mambo ya Afya ya nchini...
HABARI KUU
Watu saba wote Wakazi wa Kijiji cha Kalambo...