AZIKWA SIKU 7 ILI KUPATA WAFUASI WA YOUTUBE
NYOTA WETU Mtengeneza maudhui maarufu Duniani kupitia mtandao wa YouTube kwa jina la Mr Beast ,wiki hii amekuwa gumzo mtandaoni kwa kufanya maajabu ya kuzikwa na kufufuka baada ya siku…
NYOTA WETU Mtengeneza maudhui maarufu Duniani kupitia mtandao wa YouTube kwa jina la Mr Beast ,wiki hii amekuwa gumzo mtandaoni kwa kufanya maajabu ya kuzikwa na kufufuka baada ya siku…
NYOTA WETU Jaji wa shindano la BSS , Rita Poulsen baada ya kuweka wazi kwamba hana mpenzi,sasa ni rasmi orodha ni kubwa kwasasa ya wanaume wanaomhitaji. Leo ameweka wazi kwamba…
NYOTA WETU. Mwanariadha wa Tanzania ,Alphonce Simbu ameshika nafasi ya pili kwenye mashindano ya Shanghai Marathon 2023 huku Jackline Sakilu akishika nafasi ya nne kwenye mashindano hayo. Kwa ushindi huo…
MAGAZETI
Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania 🇹🇿.
(more…)
NYOTA WETU. Afisa wa zamani wa polisi wa Minneapolis nchini Marekani aliyehukumiwa kwa kumuua George Floyd ,amechomwa na kitu chenye ncha kali akiwa gerezani. Taarifa zinaeleza kuwa Derek Chauvin (47)…
MICHEZO Bao la dakika za jioni kabisa la Kai Havertz dhidi ya Brentford limeipeleka Arsenal kileleni mwa msimamo wa EPL katika uwanja wa Brentford Community. Arsenal imefikisha alama 30 baada…
HABARI KUU Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na sheria, Pauline Philipo Gekul kuanzia leo Novemba 25,2023. Hata hivyo, kurugenzi…
MICHEZO Shughuli imemalizika katika dimba la Julai 5 .1962 Algers,wananchi ,Young Africans SC wamekubali kichapo cha 3-0 dhidi ya wenyeji CR belouzidad ya Algeria. Magoli ya CR belouzidad yametupiwa na…
MICHEZO Kocha wa zamani wa Chelsea MAURIZIO SARRI amesema:- "Ndani ya Chelsea nilipata tabu kuingia kwenye mfumo wa klabu,klabu ambayo haikuwa na Mkurugenzi wa michezo, kwenye klabu ambayo kocha kudumu…
MICHEZO Nyota wa soka Lionel Andres Messi huenda akaongeza rekodi yake nyingine kwenye maisha yake baada ya kutangazwa kwa mnada wa seti sita za jezi alizozitumia kwenye kombe la Dunia…