0:00
NYOTA WETU.
Aliyekuwa mlinzi binafsi wa Lil Wayne amefungua mashtaka dhidi ya rappa huyo ,akidai kuwa msanii huyo wa YMCMB alitishia kumpiga risasi wakati wa ugomvi wao uliotokea mwaka 2021.
Nyaraka za Mahakama zinaonyesha kuwa Carlos Christian aliwasilisha kesi hiyo mnamo Ijumaa ya Desemba mosi. Ndani yake,alidai kuwa Weezy alitishia kumpiga risasi na bunduki semiautomatic.
Christian alidai kwamba alichukulia tishio hilo kwa uzito,kwani Lil Wayne aliwahi kukutwa na hatia ya kumiliki silaha bila ya kibali hapo awali.
Haijafahamika ni kiasi gani Christian anahitaji kama malipo ya fidia kutokana na usumbufu aliopitia.
Related Posts 📫
What is Family planning?Family planning can be defined as 'the...
Birmingham-born Grealish represented the Republic of Ireland at under-age level,...
❤
AVOID THIS TYPE OF RELATIONSHIPS
1. You should avoid a...
BREAKING NEWS
Three Abia State University Uturu Medicine and Surgery students...
LOVE ❤
1. A SPOUSE WHO WANTS TOO MUCH SEXSome...