MPANGO WA KOREA KASKAZINI DHIDI YA WHITE HOUSE

0

0:00

HABARI KUU

Korea Kaskazini imetangaza kuwa inaiangalia Ikulu ya Marekani “White House ” kwa karibu kutokana na setelaiti yake mpya ya kijasusi ,ambayo serikali inasema iko tayari kufanya kazi ,ingawa nchi za Magharibi zina wasiwasi kuhusu hilo.

Bado,Kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un amekuwa akijinasibu juu ya kifaa chake hicho kipya cha uchunguzi na amekuwa akishiriki kwa vitendo na kufurahia juu ya ugunduzi wa kifaa hicho kipya.

Ripoti zilizotolewa na vyombo vya serikali vya nchi hiyo mnamo siku ya Jumanne zilitangaza orodha ya walengwa ambao Kaskazini inasema inaweza kuona kwa karibu: Ikulu ya Marekani ,Pentagon na kambi ya jeshi la anga la nchi hiyo kwenye pwani ya Kaskazini-Mashariki mwa nchi hiyo na katika eneo la pasifiki la Guam.

Pyongyang iliorodhesha shabaha za kijeshi za Korea Kusini na mji wake wa bandari wa Busan

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  SENDIGA AZINDUA OFISI YA WAMACHINGA NA BODABODA
Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading