SPOTIFY YAAMUA KUBANA MATUMIZI
HABARI KUU. Kampuni ya Spotify ambayo ni watayarishaji wa mziki kutokea Sweden imetangaza kukata asilimia 17 ya wafanyakazi wake kwa lengo la kubana matumizi. Kampuni hiyo ina wafanyakazi wapatao 9,000…

MICHEZO Mchezaji wa Manchester City, Erling Haaland huenda akaadhibiwa na chama cha soka England baada ya kumkashifu mwamuzi Simon Hooper kufuatia sare ya 3-3 dhidi ya Tottenham Hotspurs ,siku ya…
NYOTA WETU. Mchezaji wa Chelsea Levi Colwill anasema;- "Nimefurahi kufunga goli langu la kwanza kwenye ligi kuu ya England na goli langu la kwanza ndani ya Chelsea. Bahati mbaya nimefanya…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania 🇹🇿.