YANGA KUIKOSA HUDUMA YA LOMALISA

0:00

MICHEZO.

Beki wa kushoto wa Yanga, Joyce Lomalisa ataukosa mchezo wa tatu hatua ya Makundi ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya vigogo wa Ghana,Medeama ugenini Ijumaa ya Desemba 8,2023 uwanja wa Baba Yara nchini humo.

Lomalisa alipata majeraha katika mchezo wa pili wa CAFCL dhidi ya Al Ahly hali iliyopelekea kushindwa kuendelea na mchezo huo uliomalizika kwa sare ya 1-1 katika uwanja wa Mkapa.

Yanga imeanza safari yake leo kuelekea nchini Ghana kwaajili ya kuchuana na Medeama, kwenye hatua ya Makundi ya michuano hiyo.


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  YUSUPH MANJI AIBUKA AMTAJA KIGOGO ANAYEFANYA SIMBA KUTOKUFANYA VIZURI
Don't miss out!
Invalid email address

By Mujuni Henry

JUNIITV

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner                            

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading