OFFSET AĢAWA INTERNET NA MAVAZI ATLANTA

0

0:00

NYOTA WETU.

Offset ameweka heshima nyumbani kwao Atlanta alipotembelea huko siku za hivi karibuni.

Rapa huyo wa kundi la Migos kwa kushirikiana na mfuko wa familia wa Ann Cephus (AFCC), uliopewa jina la bibi yake na kuanzishwa na Offset ,kwa lengo la kugawa maelfu ya vitu vya kupendeza ikiwa ni pamoja na nguo,huduma za Internet na mambo mengine.

Offset aliwashukru watu waliofikiwa na vitu hivyo akiwaambia;-

Nataka kuwashukru kwa kuniunga mkono kwa mwaka wa pili wa Toyz for the Nawf”

Akimaanisha tukio la jina hilo,ambalo kwa mara ya kwanza lilifanyika mwaka jana.

“Ninarudisha kwa jamii yangu . Nina jaribu kuwatia moyo vijana na kuwaonyesha ndoto zenu zinaweza kutimia . Na Kisha ukishabarikiwa,unawabariki wengine.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  ASLAY JINSI ALIVYOGEUKA IFTAR USIKU WA JANA KWA CONNECTION YAKE
Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading