0:00
MICHEZO
Gavana wa Nagasaki,Kengo Oishi,ametakiwa ajiuzulu baada ya kukosa kuhudhuria mkutano wa Magavana wa Japan baada ya kwenda kutazama mechi ambayo ilimhusisha Cristiano Ronaldo.
Oishi, ambaye alitumia fedha zake mwenyewe kununua tiketi ya mechi lakini gharama za usafiri na malazi zililipwa na Serikali, alihudhuria mechi ya kirafiki kati ya Al Nassr na Paris Saint-germain iliyochezwa julai 25 huko Osaka ,amedai kuwa alirenga kumwalika Ronaldo Nagasaki, ili kuitangaza.
Uamuzi huo umesababisha utata ,kwani Oishi alikosa mkutano muhimu, uliojadili kupungua kwa kiwango cha watoto wanaozaliwa nchini Japan, kupungua kwa idadi ya watu vijijini na masuala ya ongezeko la joto Duniani.
Related Posts 📫
Real Madrid is reportedly preparing to sell several players, including...
President William Samoei Ruto has Yesterday re-nominated six cabinet secretaries...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
HABARI KUU
Siku tatu baada ya kuapishwa kwa Rais wa...
A Twitter influencer named Ayo has recently been freed following...