0:00
MICHEZO
Manchester United wameulizia upatikanaji wa Mshambuliaji wa Stuttgart. Sehrou Guirassy katika juhudi za kuimarisha safu yao ya ushambuliaji mwezi Januari.
GUIRASSY anaepatikana kwa takribani paundi milioni 17, amezivutia timu nyingi Barani Ulaya baada ya kuweka nyavuni mabao 16 akiwa nyuma ya Harry Kane mwenye mabao 18 ,msimu huu na kuisaidia klabu yake kusimama kwenye nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Bundesliga.
GUIRASSY mzaliwa wa Ufaransa lakini mwenye asili ya Guinea, anatajwa kuwa yuko tayari kuondoka klabuni hapo ingawa klabu yako ina mpango wa kumzuia mpaka msimu wa 2023-24 umalizike.
Related Posts 📫
Many people in relationships and marriages are fighting symptoms and...
Passengers traveling through the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) in...
𝗖𝗛𝗔𝗗𝗥𝗔𝗖𝗞 𝗕𝗢𝗞𝗔
Takwimu chache kuhusu Boka (24) :
Ana urefu wa futi...
LONDON, - South Africa’s experience proved key in helping them...
HABARI KUU
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Furaha, ambapo...