0:00
NYOTA WETU.
Cardi B amevunja rekodi ya TikTok kwa onyesho lake la live kwa kupata watazamaji wengi zaidi,rekodi iliokuwa ikishikiliwa awali na Ed Sheran.
Cardi B kupitia TikTok amepata watazamaji milioni 9.2 na kuipiku rekodi ya Ed Sheran aliyewahi kupata jumla ya watazamaji milioni 5.5.
Tamasha la kwanza la mziki la TikTok ,in the Mix,limefanyika Sloan Park huko ,Mesa Arizona, jumapili Desemba 10,likiwa na wasanii kama Peso Pluma ,Cardi B,Niall Horan,Annita, Charlie Puth na Renee.
Related Posts 📫
MICHEZO
Kiungo wa klabu ya Yanga, Khalid Aucho raia...
RIO DE JANEIRO, - Hundreds of fans of Uruguayan club...
Liverpool centre back Ibrahima Konate said the arm injury he...
LOVE TIPS ❤
1) Research about Them...✍🏾Know what to expect,...
NYOTA WETU
Waziri Mkuu wa Ireland Leo Varadkar ametangaza kujiuzulu.
Varadkar...