0:00
NYOTA WETU.
Kiungo wa Manchester City, Kevin De Bruyne amemchagua ambaye angependa kucheza nae kati ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi.
Hivi karibuni, De Bruyne aliulizwa ni nani angependelea kucheza nae kati ya Cristiano Ronaldo na Lionel Andres Messi, ambapo Mbelgiji huyo alisema angependelea kucheza na Ronaldo badala ya Messi ,huku akitolea ufafanuzi kwamba Ronaldo ni Mshambuliaji na huku Messi ni mchezeshaji wa timu kama alivyo yeye ,kwahiyo yeye angependelea Mshambuliaji.
Ronaldo na Messi, ni wachezaji wawili nguli kuwahi kutokea ambapo mpaka sasa haijajulikana ni yupi bora zaidi ya mwenzake ? Kati ya tuzo 13 za Ballon d’Or karibia zote wamegawana na pia wamebeba mataji ya kitimu na binafsi.
Related Posts 📫
LONDON, - Arsenal manager Mikel Arteta said he was proud...
HABARI KUU
Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Tixon...
The Miami Heat unveiled a statue of franchise legend Dwyane...
Chelsea rejected an initial bid for the 29-year-old earlier this...