0:00
HABARI KUU
Mahakama kuu imetengua uamuzi wa Baraza Kuu La CHADEMA lililoidhinisha uamuzi wa kamati kuu ya Chama hicho uliowavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18.
Jaji Cyprian Mkeha amesema kitendo cha wajumbe wa kamati kuu kuwa wajumbe wa Baraza Kuu na kutoa uamuzi wa rufaa ni kinyume na kanuni za asili. Pia, Mahakama imeiamuru CHADEMA kuzingatia haki wakati ikishughulika na jambo hili.
Halima Mdee n wenzake 18 walifungua kesi Mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama Mei 11,2022 na Baraza Kuu La CHADEMA.
Related Posts 📫
Manchester United manager Erik ten Hag said he remained on...
HABARI KUU
Kiongozi wa Azimio, Raila Odinga ameeleza majukumu ambayo...
Dear Business:
Are you still struggling daily with your business's...
For all the single men and ladies:
Having encountered and interacted...
HABARI KUU
Baada ya Lissu kutangaza jukwaani kuwa rushwa imekithiri...