MICHEZO
Wachezaji 13 wa Manchester United wapo kwenye hatari ya kutokucheza mechi kati yao na Liverpool mnamo Desemba 17,2023 huku sababu zikieleza kuwa ni majeraha.
Kocha wa Manchester United, Eric Ten Hag atakabiliwa na mtihani mgumu wa kuivaa Liverpool kwenye mechi ya Ligi kuu ya England itakayochezwa kwenye dimba la Anfiled ambapo kwasasa ni kuwa beki Harry Maguire na Luke Shaw wameongezeka kwenye idadi ya majeruhi hao.
Nyota wengine ni Lisandro Martinez, Victor Linderlof,Tyller Malacia, Henrique Casemiro, Christian Erikson, Mason Mount, Amad Diallo huku Marcus Rushford na Anthony Martial waliikosa Bayern Munich kwenye mchezo wao wa mwisho kwenye michuano ya ligi ya Mabingwa Ulaya kutokana na kuugua, na Jadon Sancho hakujumuishwa kwenye kikosi cha Manchester United kutokana na sababu za kinidhamu.
Ikumbukwe msimu wa mwaka jana ,Manchester United ilikutana na kipigo cha 7-0 na safari hii itakwenda Anfiled bila kikosi chake kamili huku Majogoo Liverpool wakiwa kwenye kilele cha EPL.
It’s perfect time to make a few plans for the longer term and it is time to
be happy. I’ve read this put up and if I may just I wish to counsel you few attention-grabbing issues or
suggestions. Maybe you could write next articles regarding this article.
I want to read even more issues about it!
AXboVzcLxjkyYEw
wjMyBpZDtlvATP