0:00
MICHEZO
Shirikisho la soka la kimataifa Duniani (FIFA) limeiondolea klabu ya Yanga adhabu ya kutokusajili wachezaji baada ya kukamilisha malipo ya aliyekuwa mchezaji wao, Gael Bigirimana ambaye alivunjiwa mkataba na klabu hiyo na Kisha kufungua kesi ambayo pia alishinda.
Yanga ilitakiwa kumlipa mchezaji huyo ndani ya siku 45 tangu uamuzi wa FIFA ulipotolewa lakini haukutekelezwa mpaka kusababisha klabu kufungiwa.
Pia, Shirikisho la soka Tanzania nalo limeiondolea adhabu hiyo ya usajili wa wachezaji wa ndani.
Related Posts 📫
MAPENZI
Imekuwa ni jambo gumu kufahamu ni kweli mtu unayempenda...
HABARI KUU
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anatarajia kufanyiwa...
BRATISLAVA, - Dinamo Zagreb eased to a convincing 4-1 victory...
NYOTA WETU
Jenerali Biagolo amesimamishwa katika jeshi la DRC baada...
Makala Fupi
Jana Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa...