0:00
NYOTA WETU.
Mwanamziki wa Nigeria, Tiwa Savage amelipa kiasi cha Naira bilioni 1.7 sawa na bilioni 5.4 za Tanzania kwaajili ya nyumba yake mpya iliopo jiji London, Uingereza.
Nyumba hiyo yenye Vyumba vya kulala,sebule, chumba cha mazoezi na ukumbi wa sinema imekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii huku mmiliki wa sasa, Tiwa Savage akionyesha furaha yake kwa kumiliki nyumba nchini humo.
Related Posts 📫
WOLVERHAMPTON, England, 🏴 - Wolverhampton Wanderers are stuck at the...
CELEBRITIES
American woman chides those advising Chioma to leave Davido...
STOCKHOLM — Swedish prosecutors on Thursday dropped a rape investigation...
After the unexpected purge of his Cabinet, President William Ruto...
CELEBRITIES
Nigerian singer, David Adedeji Adeleke known popularly as Davido...