0:00
HABARI KUU
Naibu wa Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amewataka Wakenya wanaoishi nje ya nchi hiyo kuweka akiba na kuwekeza nchini mwao na sio katika mabenki ya kigeni au masoko.
Alizungumza wakati wa kufunga kongamano la siku tatu la uwekezaji wa Diaspora katika kituo cha kimataifa cha Mikutano cha (KICC) jijini Nairobi, Gachagua alisema Diaspora ndio inayoongoza kuingiza fedha za kigeni zaidi nchini Kenya 🇰🇪 zaidi ya hata sekta za utalii,kahawa na chai.
“Usije mwenyewe, hatukuhitaji kwasasa. Tunataka hubaki huko , lakini utume pesa nyumbani. Utakuja nyumbani hatimaye,lakini si sasa.
Nyinyi ndio watu wenye pesa, na mimi na Rais tunazihitaji ,na hata msipozileta tutakuja kuzichukua huko mlipo”.
Related Posts 📫
LONDON — Ex-Formula 1 team owner and media personality Eddie...
Diego Simeone will complete 700 games in charge of Atletico...
HABARI KUU
Mgombea Urais kutoka kambi ya upinzani nchini Senegal,...
Kwa Wanawake wengi Ndoa ni Kaburi, Ndoa ni Gereza la...
The defender was only announced as a new player for...