0:00
MICHEZO
Mabingwa wa Afrika, AL AHLY wametolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa ya Dunia baada ya kuruhusu kufungwa magoli 2-0 magoli ya Jhon Arias 70′ na John Kennedy 90′ kutoka kwa Mabingwa wa Amerika Kusini klabu ya Fluminense ya nchini Brazil 🇧🇷.
Mvuto wa mechi hii ulichagizwa na uwepo wa beki kisiki wa zamani wa Real Madrid, Marcelo.
Fluminense wametinga fainali huku wakimsubiri mshindi wa mchezo kati ya Bingwa wa Asia klabu ya Urawa Red Diamonds ya Japan na Bingwa wa Ulaya klabu ya Manchester City.
Related Posts 📫
Rafael Nadal has pulled out of this month's Laver Cup,...
MICHEZO
Uamuzi wa shirikisho la soka Ujerumani kuachana na Kampuni...
Napoli striker Victor Osimhen is "delighted" to join Chelsea this...
Bisola Aiyeola, a well-known actress and public figure from Nigeria,...
The defender was only announced as a new player for...