0:00
NYOTA WETU
Msanii wa Dancehall , Sean Paul ameongoza kwenye orodha ya Wanamziki wa Dancehall waliosikilizwa zaidi Duniani kwenye jukwaa la mtandao wa kijamii wa Spotify.
Mshindi huyo wa tuzo ya Grammy akiwa na umri wa miaka 50,amefukuzana na Popcaan ,Vybz Cartel hawa wote wameshika nafasi za 2 na 3 huku wimbo wake wa “No Lie” wa mwaka 2016 aliomshirikisha, Dua Lipa umekuwa wimbo maarufu na uliosikilizwa zaidi mwaka 2023 kwenye jukwaa la Spotify.
ORODHA YA WASANII 10 WA DANCEHALL WALIOSIKILIZWA ZAIDI
1.Sean Paul
2. Popcaan
3. Vybz Cartel
4. Shenseee
5.Steffion Don
6. Charly Black
7. Koffee
8.Spice
9. Beenie man
10. Skillibeg
Related Posts 📫
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewataka...
As a business owner, there are several skills that can...
LOVE ❤
1) Always threatening to Leave
Whenever there's an argument,...
Los Blancos are currently away on a preseason tour of...
Renowned football legend Cristiano Ronaldo has now claimed the title...