SAFARI YA KUMUONDOA PUTIN YAANZA NA 16
HABARI KUU. Wagombea 16 wamejitokeza kuchuana na Rais Vladimir Putin kwenye uchaguzi utakaofanyika mwezi Machi 2024. Hayo yamesemwa na maafisa wa uchaguzi leo Desemba 20,2023. Kwa siku za hivi karibuni…

Klabu ya JS Kabylie ya Algeria imethibitisha kuwa haina mpango tena na nyota wa Tanzania, Simon Msuva ambaye alijiunga na klabu hiyo Mwezi Julai 2023. Taarifa ya klabu imeeleza kuwa…
NYOTA WETU Rapa na mbunifu Kanye West ambaye kwasasa anatambulika kama Ye , anauza mjengo wake wa kifahari uliobuniwa na Tadao Ando uliopo Malibuli ,California kwa dola milioni 53 sawa…
MICHEZO
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kwanini Novatus Dismas anakaa sana benchi ,je hana uwezo? au mabadiliko kwenye benchi la ufundi ni sababu ya kijana huyo kukosa nafasi ya kucheza?
Kwa mujibu wa Mwandishi mmoja wa habari nchini Ukraine 🇺🇦 amenukuliwa akisema;-
(more…)
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania 🇹🇿.