0:00
MICHEZO
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kwanini Novatus Dismas anakaa sana benchi ,je hana uwezo? au mabadiliko kwenye benchi la ufundi ni sababu ya kijana huyo kukosa nafasi ya kucheza?
Kwa mujibu wa Mwandishi mmoja wa habari nchini Ukraine 🇺🇦 amenukuliwa akisema;-
“Sitaki kuamini kama sababu ni uwezo wake lakini kitendo cha Novatus kwenda hapo kwa mkopo akitokea Zulte naamini kuna hofu ya Shakhtar Donetsk kuendelea kumtumia kwakuwa wanahofia kumuweka kwenye njia ya kununuliwa na timu nyingine, kitu ambacho Shakhtar hawanufaiki nacho “.
Related Posts 📫
HABARI KUU
Muungano wa vyama vya kiraia katika Jamhuri ya...
The 25-year-old Zambia striker has undergone surgery after suffering an...
Michezo
Ligi ya Mabingwa Afrika imeendelea leo kwa wawakilishi wa...
MICHEZO
Wawakilishi wa SSC Napoli walikutana na Antonio Conte mjini...