0:00
NYOTA WETU
Rapa na mbunifu Kanye West ambaye kwasasa anatambulika kama Ye , anauza mjengo wake wa kifahari uliobuniwa na Tadao Ando uliopo Malibuli ,California kwa dola milioni 53 sawa na bilioni za Tanzania 132.5
Kanye West alinunua nyumba hii kwa kiasi cha dola milioni 57.25 sawa na Tsh bilioni 143.2 iliyopo kando ya Fukwe za Malibu mwaka 2021 na kuanza ukarabati mkubwa ambao haukuumaliza.
Related Posts 📫
EPL UPDATE:
Jordan Ayew denies Joe Aribo and the Saints a...
MICHEZO
Mwekezaji na Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba,...
<!--INDOLEADS - BEGIN-->
Makala Fupi
Ni MUNGU tu mwenye Mamlaka ya kumruzuku...