0:00
Klabu ya JS Kabylie ya Algeria imethibitisha kuwa haina mpango tena na nyota wa Tanzania, Simon Msuva ambaye alijiunga na klabu hiyo Mwezi Julai 2023.
Taarifa ya klabu imeeleza kuwa makubaliano yamefikiwa kati ya pande zote mbili.
Kwa maelekezo hayo basi ni kwamba sasa hivi nyota Simon Msuva ni mchezaji huru.
Related Posts 📫
VeryDarkMan made this known on Thursday, in a now trending...
Musician and activist Charly Boy has said that the late...
On July 2nd, 2024, Bose Ogulu, the mother of Burna...
The midfielder's current deal, which he signed in 2022, expires...