0:00

NYOTA WETU.

Saddam Hussein aliendelea kukimbia kwa muda wa miezi nane baada ya uvamizi ulioongozwa na Marekani nchini Iraq šŸ‡®šŸ‡¶ mwaka 2003 wa kuhakikisha unamuondoa madarakani.

Hatimaye alikamatwa karibu na jiji la Tikrit Desemba 13,2003 . Vikosi vya Marekani vilihitaji msaada wa raia mmoja wa Iraq kwa jina la Dkt. Muafaq al-Rubale kumtafuta.

Baada ya miezi kadhaa ya kumtafuta ,Saddam Hussein alipatikana katika chumba cha chini ya ardhi katika nyumba ya shamba karibu na mji wa Tikrit.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  MAZITO ZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA MKOA WA MARA
Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading