0:00
NYOTA WETU
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un ametuma ujumbe wa pongezi kufuatia ushindi wa Rais wa Misri ,Abdel Fattah kwenye uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, mawasiliano ya ikulu ya Misri MENA imeeleza.
“Natoa pongezi zangu za dhati kwa kuchaguliwa tena kama Rais wa Jamhuri ya kiarabu ya Misri .
Naeleza matumaini yangu kwa uhusiano wetu wa kitamaduni na urafiki na ushirikiano kati ya Jamhuri ya watu wa Korea Kaskazini na Misri utaendelea kutanuka na kukua katika nyanja mbalimbali kwa ajili ya masilahi mapana ya watu wetu”.
Shirika la habari la Korea Kaskazini ( KCNA) limemnukuu kiongozi huyo.
Related Posts 📫
MICHEZO
Taarifa kutoka ndani Young Africans ni kwamba kocha mkuu...
HABARI KUU
Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Mpanda Mkoani...
MICHEZO
Kocha Mkuu wa Sporting CP, Ruben Amorim, amepuuzilia mbali...