0:00
NYOTA WETU.
Taarifa zilizopo ni kuwa Klabu ya Yanga ya jijini Dar es salaam imemalizana na nyota wake raia wa Burkina Faso 🇧🇫, Stephanie Aziz Ki juu ya kuongeza mkataba mpya wa kusalia kwenye viunga vya Jangwani, Kariakoo.
Ikumbukwe mkataba wa Aziz Ki unatamatika mwisho wa msimu huu wa 2023-24 na mpaka sasa ,Stephanie Aziz Ki amefunga jumla ya mabao 9 kwenye michezo 10 ya ligi kuu ya Tanzania bara huku akiwa ni kinara wa mabao.
Related Posts 📫
MANCHESTER, England, - Ruud van Nistelrooy is well aware that...
When a man loses interest in a relationship, his behavior...
The Italian tested positive for low levels of a metabolite...
CELEBRITIES
Amidst the ongoing feud between Davido, Wizkid, and BNXN,...
HABARI KUU
Watu 11 wakiwemo raia watatu kigeni wamefariki dunia...