0:00
HABARI KUU
Kiongozi mkuu wa kundi AL-SHABAAB linaloendesha harakati zake nchini Somalia 🇸🇴 na Kenya 🇰🇪 ,Maalim Ayman ameuawa akiwa kwenye operesheni ya jeshi la Somalia kwa ushirikiano wa vikosi vya Marekani.
Ayman alikuwa akisakwa na Marekani kwa kuhusika na shambulio la January 2020 dhidi ya kambi ya jeshi la anga la nchi ya Kenya ambapo raia watatu wa Marekani waliuawa.
Related Posts 📫
Generate Brand Awareness: Daily marketing helps in creating and maintaining...
HABARI KUU
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es...
CELEBRITIES
Investigative journalist Stella Dimokokorkus reports that Wunmi, the late...
FREIBURG, Germany, 🇩🇪 - Germany dismantled visitors Bosnia and Herzegovina...
The fee for the 24-year-old Portugal international is undisclosed, but...