0:00
MICHEZO
Klabu ya Manchester city ya England imetwaa ubingwa wa vilabu bingwa wa Dunia baada ya kuwachapa Mabingwa wa Amerika Kusini klabu ya Fluminense ya nchini Brazil 🇧🇷 kwa jumla ya 4-0.
Manchester city imetwaa jumla ya makombe 5 ndani ya mwaka 2023 kwa kuzoa makombe ya
1. English Premier league
2. UEFA CHAMPIONS LEAGUE
3. FA Cup
4. European Super Cup
5. Club World Cup
Magoli ya Manchester City yamewekwa nyavuni na Alvarez 1’88’ Nino 27′(og) na Foden 72′.
Nao Mabingwa wa Afrika klabu ya Al ahly imefanikiwa kutwaa nafasi ya tatu baada ya kuichapa klabu ya Urawa Red Diamonds jumla ya 4-2.
Related Posts 📫
CLATOUS CHOTA CHAMA ASUSIA NGAO YA JAMII..
Clatous Chama, kugomea kushangilia...
The three-times world champion led off with an Olympic record...
Frances Tiafoe has apologised for his foul-mouthed tirade directed at...
Manchester City players have to be completely committed to the...
MICHEZO
Manchester City wameitembezea kichapo cha 3-1 majirani zao wa...