0:00
HABARI KUU.
Kiongozi mkuu wa kanisa katoliki Duniani, Papa Francisco ametangaza eneo la Mafinga Mkoani Iringa kuwa Jimbo jipya katoliki na kumteua, Padri Vincent Cosmas Mwagala wa jimbo Katoliki la Iringa kuwa Askofu wa kwanza kwenye jimbo hilo jipya.
Kwa mujibu wa Baraza Kuu la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) uteuzi huo umeanza leo huku jimbo hilo likipewa jina kwa lugha ya kilatini “Mafingens”.
“
Jimbo Katoliki la Mafinga “Mafingens” limeundwa baada ya kumega Jimbo kuu Katoliki la Iringa na Jimbo kuu la Mbeya na Makao makuu ya Jimbo yatakuwa mjini Mafinga na kanisa kuu la jimbo litakuwa kanisa la Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni, Mafinga.
Related Posts 📫
NYOTA WETU
Mrembo Caren Simba amejikuta kwenye wakati mgumu wa...
LOVE ❤
Being a man is something else, sometimes men...
CELEBRITIES
The spokesperson of the police command, said that Adanma...
Liverpool travel to AC Milan – the Reds’ opponents in...
HABARI KUU
Tanzania na Misri zimekubaliana kushirikiana katika ujenzi na...