0:00
NYOTA WETU.
Nyumba ya utotoni ya Beyonce iliopo eneo la Third Ward huko Houston ,iliwaka moto leo jumatatu Desemba 25,2023 majira ya saa 2 asubuhi.
Beyonce Knowles
Wakati nyumba imeshika moto ambao ulikuwa unaenda kusambaa nyumba nzima na kusababisha hasara kubwa,waokoaji waliweza kuukabili moto na kufanikiwa kuuzima.
Pamoja na tukio hilo kutokea ni kwamba familia ya Knowles ilikuwa imehama eneo hilo kwa miaka kadhaa pamoja na kwamba nyumba hiyo imesalia kama alama na kumbukumbu nzuri kwa wakazi wa Houston .
Related Posts 📫
BENGALURU, - India will look to continue an unprecedented run...
The reinstated deputy Governor of Edo State, Philip Shaibu on...
LOS ANGELES — LeBron James returned to the Los Angeles...
MICHEZO
Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Klabu za Simba SC,...
HABARI KUU
Donald Trump ameshinda uteuzi wa kuwa mgombea wa...
yandanxvurulmus.h6HQQvr2CDzg