SIMBA KUCHEZA KOMBE LA DUNIA

0:00

MICHEZO

Timu ya Simba ipo kwenye vilabu 12 vitakavyofuzu kushiriki michuano ya kombe la Dunia la vilabu.

Orodha ya vilabu imetangazwa jana Desemba 24,2023 huku Simba ikibebwa na wingi wa pointi ilizozikusanya katika ushiriki wa mashindano ya mara kwa mara na mpaka sasa nafasi iliopo kwenye michuano ya sasa ya CAF.

ORODHA YA TIMU 12 ZITAKAZOSHIRIKI KUFUZU

Al Ahly

Wydad CASABLANCA

MAMELODI SUNDOWNS

ESPERANCE de Tunis

CR belouzidad

Simba

Raja CASABLANCA

Al Hilal

Horoya

Kaizer Chiefs

Zamalek

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

IMPORTANT THINGS MANY COUPLES SADLY STOP DOING...
"Saying I love you"It is sad that it is difficult...
Read more
URUSI YAKUBALI KUIUNGA MKONO HAMAS ...
HABARI KUU. Wizara ya Mambo ya nje ya Urusi hapo awali...
Read more
Cheng Su Yin and Hoo Pang to...
Shuttler Cheng Su Yin’s hunger and willingness to learn could...
Read more
“KUSHINDWA” KWA ANC: Funzo au Tangazo?
Na Dkt Benson Bagonza Uchaguzi Mkuu wa Afrika Kusini umekamilika. Chama...
Read more
10 THINGS YOU MUST NOT DO DURING...
LOVE ❤ 1. Looking at time when you are having...
Read more
See also  VAN GAAL AIBUA SIRI NZITO KWENYE KOMBE LA DUNIA

This Post Has 2 Comments

Leave a Reply