0:00
MASTORI.
1. MAWASILIANO YA WAZI NA HESHIMA.
Mawasiliano mazuri ni ufunguo kwa mapenzi yenye siha njema. Jitihada binafsi zifanye kwaajili ya mpenzi wako na kuwa huru kujieleza kwa mpenzi wako mweleze hisia ,mahitaji na mawazo yako.
2. KUWA NA HESHIMA NA HURUMA.
Muonee mpenzi wako huruma,mheshimu na mpe yeye kipaumbele. Achana na lawama,dharau na kujiona wewe ndio wa kufanyiwa hayo yote.
3. UAMINIFU.
Uaminifu ni moja ya jambo muhimu kwa afya ya mahusiano.
4. TENGA MUDA KWAAJILI YA MWENZAKO.
Ajira au kazi yako isikufanye ukose muda kwaajili ya mwenza wako. Tenga muda wa kula ,kunywa na hata kupata muda wa kustarehe kimapenzi na mwenza wako. Mahusiano mabaya yanaweza kukuharibia kazi .
5. JIFUNZE KUMALIZA MIGOGORO.
Kwa wapenzi ni jambo la kawaida kutofautiana kwa mambo mbalimbali lakini tofauti zisifanye mkashindwa kuyamaliza. Jitihada binafsi zinahitajika kwa wapenzi kukaa na kuwekana sawa. Maliza, mgogoro kwa njia nzuri ya Upendo na kuheshimiana.
Related Posts 📫
Ismail Haniyah can rot in Hell.
Good Riddance! Hamas leader Haniyah...
MICHEZO
Staa wa filamu nchini Marekani mwenye asili ya Kenya,...
OUR STAR 🌟
Famous Nigerian singer Habeeb Okikiola better known...
Manager Thiago Motta acknowledged that Juventus are not in the...