DiscoverCars.com                                                                       

MAMBO 6 YA KUFAHAMU KABLA YA KUMBUSU MPENZI WAKO

0:00

MAPENZI

Busu ni sanaa na ina ufundi wake kwenye mapenzi na sio ya kukurupukia kama wengi wanavyofanya.

Sasa kwa kutambua umuhimu wa Busu,ngoja nikupe namna nzuri ya kupiga busu lako mpaka mwenza wako ajue kwamba wewe ni fundi.

1. ANZA TARATIBU.

Ukitaka kumbusu mpenzi wako,anza taratibu na Anza na sehemu ya chini na ndio huende juu, na wakati huo huo hakikisha unagusanisha mdomo wako na wake hili lips zikutane.

2. ONGEZA KASI.

Baada ya kuanza taratibu na pole pole basi ongeza kasi, kasi hii ninayosema ni wewe basi kuhakikisha lips zenu na mwenza wako zinagusana na kusuguana. Kusuguana kwake kwa kasi huwa kuna sisimua hisia .

3. TUMIA MENO.

Watu wengi busu lao huwa linaishia kwenye kugusanisha tu lips . Kati ya kitu kinaweza kumchanganya mpenzi wako ni kutumia meno kama unamg’ata kwa mbali ila usiume midomo yake, ng’ata taratibu kwa kuvuta sehemu ya chini au juu ya midomo yake.

4. BADILI MKAO WA KICHWA CHAKO.

Hapa kama mlilala kwenye uelekeo sawa,wewe unaweza sasa kulala kinyume chake yaani ulalo ambao kila mmoja anakuwa anakuta na mwenza wake kwa kichwa pekee ambako ndio sehemu ya kufanya kazi yenyewe.

5. BUSU SIO LA MIDOMO PEKEE.

Kuna maeneo mengi ya kubusu ambayo pia yana hisia sana kama shingo,kifua na masikio.

6. KUJARIBU NDIO KUFANYA.

Kwa mara ya kwanza huenda ukawa unakosea maana ndio unajifunza lakini Kadri unavyoendelea ndivyo utaweza kuwa mbunifu na kutimiza jambo hili kwa ufasaha. Fanya Kadri unavyoweza ,busu ni alama fulani ya kukutambulisha hata kwa mtu mpya kwamba wewe ni “mtundu” wa mambo.

See also  STEPS THAT WILL HELP TO BUILD UP THE EXCITEMENT TO REACH ORGASM

By juniitv

JUNIITV

Leave a comment